Uzalishaji kahawa nchini walegalega

KAHAWA ni mojawapo ya zao la mkakati ambapo Serikali inafanya juhudi za kila aina kuongeza uzalishaji wake ili kuongeza pato la taifa kwa mauzo ya nje ya nchi kwani pamoja na zao hili kulimwa kwa wingi ni kiasi kidogo sana kinatumika nchini.

Tunisia

Tunisia ni nchi inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeriana ipo kaskazini mwa afrika.

Namibea

-Namibia ni nchi ya Afrika ya Kusini kwenye pwani ya Atlantiki. Imepakana na Angola, Zambia, Zimbabwe Botswana na Afrika Kusini. Imepata uhuru wake kutoka Afrika Kusini mwaka 1990.-

Wahusika wa Afrika

Nyuso zimeathiri katika Afrika

Onyesho la Afrika