
Uzalishaji kahawa nchini walegalega
KAHAWA ni mojawapo ya zao la mkakati ambapo Serikali inafanya juhudi za kila aina kuongeza uzalishaji wake ili kuongeza pato la taifa kwa mauzo ya nje ya nchi kwani pamoja na zao hili kulimwa kwa wingi ni kiasi kidogo sana kinatumika nchini.

Misri na Uganda
Mfululizo huu:: Uenyekiti wa Misri kwa Umoja wa Afrika kwa mwaka wa 2019 ni kama kuthamini undugu wa nchi za Afrika, na kuiamini Misri na Rais wake, Rais Abdel Fattah Al-Sisi.