Makala Na Ripoti

Kofi Annan

KOFI ANNAN ndiye Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuanzia mwaka 1996 - 2006. Katibu Annan na Umoja wa Mataifa kwa pamoja walipata Tuzo ya Amani ya Nobeli mwaka 2001.

zaidi

SIHA NA LISHE: Vyakula hivi ni muhimu kwa wanaougua kisukari

Mafuta ya namna hii kama yanayopatikana kwenye tunda la parachichi yanaweza kuweka sawa usawa wa lehemu mwilini, yanaweza yakampunguzia mtu hatari ya kupata magonjwa ya moyo.

zaidi

Corona inavyoacha somo kwa kinamama kujikinga magonjwa ya milipuko

Baadhi ya hatua zinazopendekezwa ni kunawa mikono kila mara, kujisafisha kwa kutumia vitakasa mikono, kuvaa barakoa na kujiepusha na mikusanyiko isiyo ya lazima.

zaidi

CHANGAMOTO kunawa mikono, upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusu corona

HALI imeendelea kuwa tete ulimwenguni kote kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona.

zaidi

Baraza la Manispaa Mjini laweka mikakati ya kuusafisha mji

MJI Mkongwe wa Zanzibar ni mji wa kihistoria kama ilivyo miji mingine kama hiyo duniani.

zaidi

Chaguzi zitakazotazamwa Afrika 2020

MWAKA 2020 umesheheni matukio makubwa ya kisiasa kwani mataifa mengi barani Afrika yanatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu ikiwamo Tanzania ili kumpata rais, wabunge na madiwani.

zaidi

Miradi ya kimkakati, viwanda vilivyoteka sekta ya uchumi 2019

KWA siku kadhaa sasa tumekuwa tukiyaangazia matukio makubwa yaliyotokea nchini kwa mwaka huu wa 2019.

zaidi

NMB kushirikiana na serikali kukuza utalii

WAKATI ikielezwa kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinazofi kiwa na Ziwa Victoria, zinapoteza karibu Dola za Marekani bilioni 60 kila mwaka

zaidi

NMB kushirikiana na serikali kukuza utalii

WAKATI ikielezwa kuwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinazofi kiwa na Ziwa Victoria, zinapoteza karibu Dola za Marekani bilioni 60 kila mwaka

zaidi

Tanzania sasa ni mlaji chakula, si mhudumu wa chakula

Hali kadhalika, kwa sababu ya kuuza madini ya tanzanite ghafi , nchi za India na Kenya ambazo zinayaongezea thamani,

zaidi

Bandari Mtwara na fursa kiuchumi Kusini, nchi jirani

BANDARI ya Mtwara ni mojawapo kati ya bandari kuu tatu za mwambao wa bahari zilizopo nchini, zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA).

zaidi

Aliyoyafanya JPM miaka minne ndani ya Ikulu

Rais Dk. John Magufuli akizindua miradi saba katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Ziwa Bugando. Kulia ni Baba Askofu Renatus Nkwande na kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Wat

zaidi