Utafiti huo ulionyesha kuwa ni mataifa manne tu barani yanayotilia mkazo haja ya kuwekeza zaidi katika mifumo ya kidijitali –Kenya, Misri, Afrika Kusini na Nigeria – ingawa katika jukwaa la kimataifa juhudi hizo zimemezwa na Amerika na Uchina.
zaidiWATU wengi wanaujua zaidi Mlima Kilimanjaro kutokana na upekee wake katika Bara la Afrika.
zaidiSiri ya kuwa na maisha ya furaha katika ndoa sio kuchagua mchumba mwenye mali, sura au umbo la kuvutia, ni kutokuwa na mipango ya kando, utafiti wa hivi punde umefichua.
zaidiWAKATI kwa baadhi ikionekana ulaji wa nyama ya nguruwe ‘kitimoto’, ng’ombe na mbuzi kuwa ni ishara ya kipato kizuri, hata hivyo vitoweo hivyo vimetajwa kuwa miongoni mwa vyanzo vya vifo vya mapema, ik
zaidiKAZI ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Hiyo ni kutokana na ukweli kwamba, binadamu hutumia muda mwingi zaidi mahali pa kazi kuliko sehemu nyingine yoyote.
zaidiSera ya Misri imetilia umuhimu zaidi suala la amani na usalama barani Afrika, katika ngazi nyingi, kama vile : mipango rasmi, mifumo dhibiti na michango ya kimataifa.
zaidi"Misri ni moyo wa Waarabu unaodunda .. Na akili yake ya kufikiri .. Mnara wa taa ya ulimwengu wa Kiislamu .. Na kituo cha mionzi ya sayansi za dini ..
zaidiTangu mapinduzi ya Julai mwaka wa 1952, sera ya Misri imetoa umuhimu mkubwa kwa bara la Afrika kwa miongo miwili, na kwa sababu ya imani ya Misri kwa utambulisho wake wa Kiafrika, Misri imefanya jiti
zaidiMATUMIZI ya lugha huwa ndio msingi wa kuendeleza, kukuza, na hata kubuni uzushi mpya katika mirathi ya kitamaduni, mila na hulka za kijamii.
zaidiKATIKA Utafiti uliotolewa na kuchapishwa kupitia kituo cha Associated Press Juni 14 mwaka huu, watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Colombia nchini Marekani wameeleza kuwa wamebaini wanyama hasa Simba wamek
zaidiSEKTA ya Mifugo imeendelea kutoa mchango muhimu katika uchumi wa wananchi wa vijijini na Tanzania kwa ujumla, ambapo bidhaa zake zikiwemo nyama, maziwa, ngozi na mbolea zikiendelea kuuzwa nje ya nchi
zaidiHALI ya anga ni shwari katika maeneo ya Timau, Kaunti ya Meru wakati Akilimali inazuru mashamba mapana ya ngano, canola na viazi kung’amua teknolojia zinazotumika kufanikisha kilimo kwenye maelfu ya maekari.
zaidi