Habari

U17 Tanzania Bara yaiadhibu Kenya

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 imeifunga Kenya kwa mabao 3-1 kwenye michuano ya Kombe la Chalenji

zaidi

Tanzania, Kenya zaahidi kuendeleza na kukuza maendeleo

TANZANIA na Kenya zimeahidi kuendeleza na kushirikiana katika kuhakikisha kuwa maendeleo baina ya nchi hizo yanakuwa kila wakati.

zaidi

Kenya, Somalia kurejesha uhusiano

KENYA  na Somalia, zimekubaliana kurejesha ushirikiano wa awali wa kidiplomasia na kuruhusu raia wa nchi hizo jirani kuvuka mpaka bila vikwazo.

zaidi

Wabunge wa Kenya wamfagilia Magufuli

WABUNGE wa Kenya wamemfagilia Rais John Magufuli, kutokana na kusimamia vizuri mapato na matumizi na ujenzi wa miradi, ambayo thamani ya fedha inaonekana katika utekelezaji wake nchini.

zaidi

Ligi Kuu Kenya sasa ni moto

LIGI Kuu ya Kenya (KPL) ya Kenya iliendelea mwishoni mwa wiki hii ambapo michezo kadhaa ilichezwa.

zaidi