Habari

Kenya, Somalia kurejesha uhusiano

KENYA  na Somalia, zimekubaliana kurejesha ushirikiano wa awali wa kidiplomasia na kuruhusu raia wa nchi hizo jirani kuvuka mpaka bila vikwazo.

zaidi

Uganda Airlines kupasua anga Tanzania, Kenya

NDEGE za Shirika la Ndege la Uganda (Uganda Airlines), zinatarajiwa kuanza kupasua anga la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuanzia Agosti 28 mwaka huu.

zaidi