Habari

Watanzania ruksa kwenda Sudan Kusini bila viza

TANZANIA imekuwa nchi ya kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupewa heshima ya kuingia na kutoka Sudan Kusini bila kuwa na kibali maalumu, yaani viza.

zaidi