Habari

Kituo cha Ugonjwa wa kisukari kimezinduliwa Sudan

SUDAN  imezindua kituo chake cha kwanza cha Ugonjwa wa kisukari wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ugonjwa wa kisukari duniani.

zaidi

Sudan yatangaza mpango wa kufufua uchumi

SERIKALI  ya Sudan imetangaza mpango wa vipindi vitatu wa kutatua matatizo ya kiuchumi na kufufua uchumi wake.

zaidi

Sudan: Kiongozi wa baraza la mpito ajiuzulu

Waziri wa Ulinzi aliyeapishwa Alhamisi kuwa rais wa baraza la mpito la kijeshi Ahmed Awadh Auf amejiuzulu wadhifa huo na nafasi yake kuchukuliwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan Abdulrahman.

zaidi