Habari

JPM, Museveni wataka biashara kuimarishwa

RAIS John Magufuli amesema biashara kati ya Tanzania na Uganda, bado haijafanya vizuri

zaidi

.... Wazindua Jengo la Baba wa Taifa

Rais John Magufuli na mgeni wake, Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamezindua jengo la Baba wa Taifa,

zaidi

Uganda Airlines kupasua anga Tanzania, Kenya

NDEGE za Shirika la Ndege la Uganda (Uganda Airlines), zinatarajiwa kuanza kupasua anga la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuanzia Agosti 28 mwaka huu.

zaidi

Tanzania yaimarisha mipaka

MIPAKA ya Tanzania na nchi za Kenya, Uganda na Burundi imeanza kuimarishwa katika hatua mbalimbali

zaidi

Vijiji 226 kuneemeka bomba la mafuta

WANANCHI wanaoishi vijiji linakopita bomba la kusafi risha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanzania,

zaidi

Okwi, Juuko wang’aa kikosi cha Uganda Afcon

KAMPALA, UGANDA. Nyota wa Simba, Emmanuel Okwi na beki Juuko Murushid pamoja na beki wa Azam FC

zaidi

Uganda yaanzisha kilimo cha bangi

Kampala. Zaidi ya kampuni 24 nchini Uganda zimeomba leseni kwa ajili ya kuingiza mbegu za bangi na udongo wenye rutuba kwa ajili ya kilimo cha zao hilo.

zaidi

Makatibu Wakuu Tanzania Na Uganda Wahitimisha Mkutano Wa Mahusiano Na Kusaini Makubaliano

Mkutano wa Kuendeleza Mahusiano ya Mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Uganda kwa ajili ya kurahisisha masuala ya kijamii, Kiuchumi na Kimazingira

zaidi

Uganda yaipa tano Tanzania usimamizi rasilimali madini

UJUMBE wa Rais Yoweri Mseveni wa Uganda ukiongozwa na Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini, Peter Crolies, umekiri kuwa uwekezaji wa Tanzania katika sekta ya madini ni mfano wa kuigwa na nchi

zaidi

Uganda yaeleza inavyonufaika na Bandari Dar

BANDARI ya Dar es Salaam imeiwezesha Uganda kupitisha mzigo wenye thamani ya dola milioni 30 sawa na Sh bilioni 599 za Uganda

zaidi