Misri Na Uganda
Alhamisi, Januari 31, 2019
Misri Na Uganda

Maendeleo ya mahusiano kati  ya Misri na Uganda

kuna mahusiano ya kihistoria kati ya Misri na Uganda tangu zama za kale kwa sababu ya mawasiliano baina ya wanachi wa Bonde la mto Nile, na wakati wa Khedewi Ismail bin Ibrahim bin Mohammad Ali alipotawala Misri , alitaka kuhifadhi vyanzo vya kitropiki vya Mto Nile, hasa ziwa kubwa  la nyanza (viktoria) na utawala wake ulikuwa umeenea hadi Kusini mwa Sudan , Mfalme huyu aliipa umuhimu mkubwa sana Uganda kwa sababu ya umuhimu wake wa kimkakati  kwani  vyanzo vya Mto Nile vinaanzia nchi hii, na alituma majumbe wake kwa Wafalme wa Uganda, aidha utawala wa Othmani uliacha pwani ya magharibi ya bahari ya Shamu na pwani ya ghuba ya Aden, na kukaribishwa na Wafalme wa Uganda kwa jambo hilo.

Kisha Misri chini ya uongozi wa Rais Gamal Abdel Nasser, ilisaidia mapambano ya watu wa Uganda kwa ajili ya ukombozi kutoka utawala wa Waingereza.

baada ya uhuru , Milton Obote , aliomba msaada wa Misri kukabiliana na wapiganaji wa Congo   wenya silaha, waliovuka mipaka ya Uganda chini ya uongozi wa “Tshombe.”

Rais Gamal Abdel  Nasser aliamua kutuma nusu ya kikosi cha  ndege cha Misri  MiG-17 kwa ajili ya kusaidia Uganda, pia ametoa amri kwa wataalumu katika nchi hizo mbili kufanya mipangilio na kutoa maelezo kuhusu utekelezaji wa azimio hili na  kabla ya na kabla ya mipango kukamilika, balozi wa Misri huko Kampala  alituma Telegram ili kusisitiza kwamba uadui kwenye mipaka ya Uganda umesimama kabisa.

Na kwamba kujibu  kwa haraka kwa Rais Gamal Abdel Nasser na habari za jibu hili kwa Tchombe, ilikuwa ni sababu kuu ya kusimamisha uadui  kabisa kwenye mipaka ya Uganda.

 na kuunga mkono msimamo imara wa wananchi wa Uganda dhidi ya vishio vya Tchombe.

Katika miongo iliyofuata, hasa baada ya Rais Yoweri Museveni kuchukua mamlaka nchini Uganda Mwezi wa januari 1986, mahusiano baina ya nchi hizo mbili  yaliendelezwa na kuimarishwa katika nyanja mbalimbali hasa ushirikiano kuhusu Mto wa Nile, nyanja ya ushirikiano wa kifundi na usimamizi wa rasilimali za vyanzo vya maji kwa ujumla, aidha nchi hizo mbili zinashirikiana katika juhudi za kuhakikisha amani na utulivu  katika Afrika ya Mashariki na eneo la pembe ya Afrika.

kwa pande wa mahusiano baina ya nchi hizo mbili , ushirikiano wa kifundi umeimarishwa kwa ajili ya maendeleo, kuandaa makada na mafunzo, pia nchi hizo mbili zimeshiriki katika uanachama wa mashirika kadhaa na makundi  mengi hasa  muungano wa soko la pamoja la mashariki na kusini la afrika COMESA.

jambo ambalo limesaidia uhuru wa biashara kati ya  nchi wanachama, na juhudi hizo izimefanya  kuboresha ushirikiano wa  biashara na ushirikiano wa uwekezaji baina ya nchi hizi mbili, ingawa bado kufikiwa  kiwango cha uwiano ambao unalingana  na mahusiano ya kisiasa baina nchi hizo mbili.

katika miaka ya hivi karibuni,nchi ya Uganda imeiunga mkono  Misri katika umoja wa Afrika  baada ya mapinduzi ya Juni 30.

mahusiano ya kisiasa

kwa zaidi ya miaka 30 nchi mbili za Misri na Uganda zimeonesha azma  ya pamoja ya ushirikiano kuhusu pande kadhaa za mahusiano ya kisiasa na kiuchumi, pia kuhusu masuala ya kieneo hasa sudani ya kusini na eneo la pembe ya afrika.

na kuhusiana na Mto Nile , ushirikiano wa kifundi katika usimamizi wa rasilimali za  maji kwa ujumla , ushirikiano wa kijeshi , kukabiliana na tisho la ugaidi pamoja na ushirikiano wa usalama na ajenda  ya maendeleo katika bara la afrika.

Rekodi ya ziara na mikutano kati ya viongozi wa nchi hizo mbili , unaonesha  maendeleo mazuri baina ya Misri na Uganda katika miaka ya hivi karibuni.

Katika kiwango cha Mkutano wa kilele:

Mkutano wa kwanza ulifanyika  baina ya Rais Abdulfattah Alsisi na Rais Yoweri Museveni  pembezoni mwa mkutano wa kilele wa  Umoja wa Afrika huko Malabo,mji Mkuu wa Guinea Ikweta  juni 2014.

Tarehe 23-9-2014 Raisi wa Misri Abdulfattah Alsisi alikutana na  Rais wa Uganda Yoweri Musevenii pembezoni mwa shughuli za kikao cha sitini na tisa cha  Baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Pande hizo mbili zilijadili njia za kukuza ushirikiano katika nyanja mbalimbali baina ya nchi hizo mbili , Marais wawili walikubaliana umuhimu wa kufaidika kwa maji ya Mto Nile na kufikia malengo ya maendeleo kwa ajili ya maslahi ya raia wa bara la Afrika bila ya kusababisha madhara kwa maslahi ya upande yoyote.

mkutano wa tatu baina ya Marais wawili ulifanyika wakati wa mkutano wa Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa , mwezi wa januari 2015.

katika mwezi wa Desemba 2016, Raisi Abdulfattah Alsisi alikwenda kwa mara ya kwanza nchini Uganda , ziara hii ilisisitiza kuwepo mahusiano ya kihistoria tangu karne nyingi zilizopita , jambo ambalo linazingatiwa kuwa ni hatua ya kwanza mpya ya kuwepo mahusiano na umuhimu wa kuamsha shughuli za tume ya pamoja kati nchi mbili , na umuhimu wa kufanikiwa katika nafasi ya kwanza .imesisitizwa kwamba Misri ina nia ya kuimarisha mazungumzo na Uganda kuhusu masuala mbalimbali ya Kikanda.

Rais wa Uganda pia amesisitiza umuhimu wa kuimarisha mazungumzo na ushirikiano baina ya nchi za bonde la Mto Nile, akiashiria kwamba ana nia ya kufikia jambo hilo kupitia muda wa uongozi wake wa mpango wa nchi za bonde la Mto Nile , pia Marais wawili wameonesha uhusiano wao kuhusu mradi wa unganisho la  Bahari kati  ya Ziwa viktoria na Bahari ya Mediterane, Marais  wawili wamesisitiza kwamba umuhimu wa kuchukua hatua ya lazima kutekeleza mradi huo ,baada ya kumaliza utafiti wake ,pia katika ziara hiyo  ilitiwa  saini ya mfumo wa ushauriano wa kisiasa kati ya nchi mbili.

Tarehe  21-6-2017, Rais wa Misri Abdulfattah Alsisi alikwenda Uganda ili kushiriki katika shughuli za mkutano wa nchi za bonde la Mto nile, Raisi wa Uganda alimpokea na wamefanya mazungumzo muhimu pembezoni mwa mikutano wa kilele , mazungmzo haya yamekusanya njia za kuimarisha  kati ya nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali na kufikia ushirikiano baina ya nchi za Bonde la Mto nile.

Tarere 8-5-2018,Rais wa Uganda Yoweri Museveni alizuru Misri , na Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi, alimpokea , kiasi kwambaMarais wawili walifanya mazungumzo kuhusu umuhimu wa mahusiano baina ya nchi hizo mbili na masuala ya kimajimbo yenye umuhimu, aidha wametia saini mikataba kadhaa kati ya Misri na Uganda katika Ikulu ya Al-Itihadiya , hasa umuhimu wa ushirikiano wa pamoja katika  nyanja ya kilimo, maeneo ya viwanda , umeme na Nishati mbadala.

pembezoni mwa ziara ya Rais Museveni mjini kairo, tume ya pamoja ya nchi mbili ilikutana na Ujumbe wa Uganda uliojumuisha Mawaziri kadhaa na mikataba kadhaa ilisainiwa, na hasa mkataba wa  kuanzisha kituo Busia  cha umeme  wa Nishati ya jua , kufikia jumla mega watt 4, kinachofadhiliwa na serikali ya Misri mkataba wa kufahamiana ,ili kuanzisha maeneo ya viwanda mkataba wa kufahamiana katika nyanja mbalimbali za kilimo.

na shughuli za tume ya pamoja ya ushirikiano imeshuhudia kikao maalumu cha kongamano la kutenda kati ya nchi hizo mbili pamoja na ushirikiano wa makampuni ya Misri na Uganda ,  na wamekubali kuhusu kuanzisha baraza la kazi za pamoja.

Tarehe 10-3-2019 , Rais Abdulfattah Alsisi alimpigia  simu na Rais Museveni akisisitiza kwamba umuhimu wa mahusiano mazuri yameunganisha Misri na ndugu zao uganda, pia pamoja na  umuhimu wa mahusiano na mashauriano na Rais Museveni kuhusu masuala ya Afrika  kwa sababu yeye anauzoefu mkubwa wa kusukuma juhudi za kuunganisha kiwango cha bara la Afrika, na pia kuhusu kuimarisha mfumo wa utendaji wa Umoja wa Afrika ,wakati akiwa Rais Alsisi ni kiongozi wa Umoja wa Afrika, hasa kuhusiana na  masuala ya amani na usalama na ajenda ya maendeleo katika bara la Afrika.

kwa upande wake , Rais wa Uganda  alithamini sana  mahusiano ya urafiki na undugu baina ya nchi hizo mbili , akitoa pongezi kwa Misri , raia , na viongozi ,na ni matarajio yake kuwepo upeo upana ili kuendeleza mahusiano na kuwepo muundo wa ushirikiano wa pamoja kati ya Misri na Uganda, na pia kuimarisha hatua ya pamoja ya Afrika , kwa ajili ya kufikia maendeleo endelevu kwa nchi za Afrika na raia wake , na kuendelea malengo mshikamano na ushirikiano wa bara la Afrika kwa  viwango vyote.

اpia walizungumza kwa njia ya mawasiliano ya simu  kuonesha njia za ushirikiano wa maendeleo baina ya nchi za bonde la Mto Nile, ambapo maoni yao yalihusu umuhimu wa kuingia katika mawasiliano mazuri kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika eneo la bonde la Mto Nile ..
 
Katika ngazi nyingine:

Ni pamoja na mikutano na mawasiliano inayoendelea  kati ya Marais wa  nchi hizo mbili, hasa baada ya mwaka 2014 , kuna ziara nyingi sana kwa ngazi ya  Mawaziri na viongozi kati ya nchi hizo mbili , miongoni mwao:

Tarehe  21-2-2019 ,Waziri wa umeme na Nishati mbadala Dk.Mohamed Shaker alikwenda Uganda ili kushiriki" Mkutano wa Mawaziri 14 wa Jumuiya ya Nishati kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPP) , ambapo iliwasilishwa hotuba ya Misri kwenye mkutano huo.

Kutoka tarehe 26 na 26 septemba ,Waziri wa maji na umwagiliaji, Dk.mohamed abdel Aaty , alizuru uganda ili kushuhudia shughuli za mwisho wa hatua ya kwanza ya mpango wa kuzuia hatari ya mafuriko katika jimbo la Kisisi Magharibi mwa Uganda.

Tarehe 7-5-2018 , Bright Kanituri Rwamirama Waziri wa  nchi na mambo ya mashujaa wa vita alikuja nchini Misri na Jenerali Sedky Sobhy Waziri wa ulinzi alimpokea , pande hizo mbili zilijadili maendeleo na  masuala ya kikanda na kimataifa  na matokeo  yake kwa usalama na utulivu ndani ya bara la Afrika. Masuala kadhaa  ya ushirikiano wa pamoja wa kijeshi wa nchi hizo mbili ulijadiliwa,  na kunufaika kutokana na uzoefu wa Misri katika Nyanja mbali mbali  za kijeshi kwa  kutoa huduma bora zaidi kwa mashujaa wa vita na waliojeruhiwa  katika vita.

Tarehe 8-8- 2017 , Dk. Mohamed Abdel Aaty Waziri wa maji na umwagiliaji  , alizuru Uganda kama jitihada za ushirikiano wa Misri kwa juhudi za utekelezaji wa mradi wa kuzuia hatari ya mafuriko katika Kanda ya kisisi  Magharibi mwa Uganda, na alipokelewa na Waziri wa maji na mazingira wa Uganda Sam Shaptoris , na pande mbili zilijadili  maswala ya pamoja ya kikanda.

Mwaka  2017/5/2 Waziri wa Mambo ya nje Samih Shukry alifanya ziara nchini Uganda na kupokelewa  na Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Shukry alimkabidhi  ujumbe kutoka kwa Rais Sisi unaokusanya mahusiano ya pande mbili na njia za kukuza mahusiano hayo katika nyanja zote. Pande mbili pia zilijadili masuala kadhaa ya kikanda, hasa hali ya Somlia na pembe ya Afrika kiujumla na ushirikiano wa  pande mbili katika nyanja ya kupambana na ugaidi.  Ziara hiyo ilikuja ndani ya uratibu unaoendelea na mashauriano katia ya nchi hizo mbili na kuzumgumzia masuala ya mpango muhimu ambao alioutoa Rais wa Uganda kwa ajili ya kuitisha mkutano wa Maraisi wa nchi za Bonde la  Mto Nile ambao utalenga kukurubisha maoni kati ya Misri  na Sudani na nchi nyinginezo za Bonde la Mto wa Nile.

-Ziara ya Waziri wa maji wa Uganda kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kiteknolojia wa vyanzo vya maji mjini Cairo Desemba 2016.

Ziara ya Waziri wa usalama wa Uganda karika mjini Cairo Novemba 2016.

Ziara ya ugeni kutoka katika idara ya miradi ya utumishi wa kitaifa ya Misri kuelekea Uganda Octoba 2016.

Ziara ya Waziri wa Mambo ya kiserekali ikiongozwa na ugeni wa kiserekali na bunge kuelekea Sharmu Sheikh kwa ajili ya kuhudhuria mikutano ya bunge la Afrika Septemba 2016, na kwa ajili ya kushirikiana katika kushirehekea Misri kufika miaka 150 tokea kuanzishwa bunge la Misri.

Tarehe 26-9-2016 ujumbe kutoka katika kamati ya maswala ya mambo ya nje ya bunge la Uganda ulifanya ziara nchini Misri, kupitia ziara hiyo kulijadiliwa hatua za utekerezaji wa miradi ya pamoja ikiwepo ziara ya ijumbe wa mafundi wa Kimisri kwa ajili ya kujenga kituo cha Nishati ya juwa nchini Uganda ikifadhiliwa na mpango endelevu wa kimisri katika nchi za Bonde la Mto wa Nile. Pia  walijadili  njia za kuendeleza ushirikiano kati ya nchi mbili, hasa katika mambo yanayohusiana na sekta ya bunge,  kupitia nafasi iliokuwa nayo kamati ya maswala ya kiafrika iliyoanzishwa katika bunge jipya la Misri.  Ziara ya Rais wa miradi ya utumishi wa kitaifa katika jeshi la Uganda mjini Cairo Julai 2016.

Ziara ya ujumbe  rasmi kutoka wizara ya umeme na idara ya ufundi ya kiarabu kuelekea Uganda septemba 2016.

Ziara ya Waziri wa Nishati wa Uganda mjini Cairo Agosti 2016.

Ziara ya Waziri wa maji kuelekea Uganda Julai 2016 kwa ajili ya kuhudhuria mikutano ya balaza la Mawaziri la Mto Nile Julai  2016.
 
Ziara ya Waziri wa nchi mambo ya nje wa Uganda nchini  Misri Juni 2016.

Kushiriki kwa Waziri wa  maendeleo na majimbo na elimu ya juu katika hafla ya kutawazwa Rais Museveni mai 2016.

Ziara ya Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa mambo ya nje wa Uganda mjini Cairo 2016.

Ziara ya Waziri wa taifa kwa ajili ya makazi wa Uganda nchini Misri  2016.

Ziara ya pamoja kuanzia Waziri wa nchi wa fedha wa Uganda na Waziri wa nchi wa Uchumi wa  mifugo nchini Misri  2016.

 Ziara ya Waziri wa usalama wa Uganda nchini Misri  2016

Tarehe 17-12-2015  Waziri wa umwagiliaji na Rasimali ya maji alifanya ziara ya nchini  Uganda kwa ajili ya kukuza mahusiano ya pande mbili kati ya nchi mbili ambapo alipokutana na  Waziri wa kilimo mifugo na uvuvi wa Uganda na pande mbili zilizungumzia uhusiano wa kusaidiana katika nyanja nyingi za kisiasa na Rasilimali  ya maji.

Ziara ya ujumbe wa iMamlaka ya Udhibiti ya Misri nchini Uganda Octoba 2015.

 Kuhudhuria Waziri wa maji na mazingira wa Uganda hafla ya ufunguzi wa Mfereji wa Suez Agosti 2015.

Tarehe 3-8-2015 katika mfumo wa kutaka Misri kukuza na kuendeleza mahusiano yake na nchi ya Uganda katika nyanja zote,  na kufikia maelewano yanayo hitajika katika  upande wa faili la maji ya Mto Nile, Jemes Magume  Wakili wa Wizara ya Mambo ya nje wa Uganda alifanya ziara nchini Misri,  alipokewa katika ziara hiyo  na Waziri wa Mambo ya nje  Samih Shukry,  ambapo  ulifanyika  mkutano wa mashauriano wa pande mbili na uligusia hali tmbali mbali  za mambo ya ndani, kikanda  na kimataifa mahala pakutiliwa umuhimu kwa pamoja kati ya nchi mbili,  na pia ulifanyika uchunguzi wa matukio ya mahusiano ya pande mbili.

Ziara ya Naibu wa Waziri wa  ugavi  wa Misri kuelekea Uganda Agost 2015.

Tarehe 30-7-20152 Waziri wa sheria na maswala ya kikatiba wa Jamuhuri ya Uganda Kahanda Utavair alifanya ziara nchini Misri, kupitia ziara hiyo alikutana na  Rais Abdulfattah Al sisi.

Ziara ya Ujumbe wa kiusalama wa Misri kuelekea Uganda Juni 2015.

 Ziara ya Waziri wa mambo ya Nje Samih Shukry  na kukutana na Rais wa Uganda mwezi wa mai 2015.

Waziri wa Utalii wa Uganda Dk. Maria Mutagamba alitembelea Misri mwezi wa Aprili 2015 , wakati ambapo alikutana na Waziri wa Utalii wa Misri, na walitia saini mkataba wa makubaliano, ili kushirikiana katika nyanja ya Utalii kati ya nchi hizo mbili.

Ujumbe kutoka kutoka Taasisi ya masomo ya kidiplomasia ya Misri  walikwenda Uganda mwezi wa aprili 2015 chini ya uongozi wa mkurugenzi wa Taasisi  na hii ni miongoni mwa ziara ya nchi za Bonde la Mto  Nile, iliyojumuisha Ethiopia na Kenya.

Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda nchini Misri na mkutano wake pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Sameh Shokry mwezi wa Machi 2015.

Ziara ya wajumbe wa usimamizi wa idara  mwezi wa Februari 2014.

Waziri wa Mambo ya kikanda alishiriki katika sherehe na shughuli za uwekezaji na alikutana na Rais wa Misri  Abdulfattah Al-sisi mwezi wa June 2014.

 msimamizi mkuu wa serikali ya uganda alikuja kairo Mwezi wa Februari 2015 , alikutana  na Mwenyekiti wa Kamisheni wa Usimamizi wa idara , na walitia  saini  mkataba wa ushirikiano  kati ya nchi hizo mbili kuhusu kubadilishana uzoefu wa kielimu na kimafunzo  katika nyanja ya kuzuia ufisadi.

Tarehe 15-1-2015 ,Ujumbe kutoka Wizara ya  Umwagiliaji iliyoongozwa na  Mwenyekiti wa  kamati ya kifundi na uendeshaji miradi ya ushirikiano wa kiufundi pamoja na Uganda katika uwanja wa Rasilimali za maji na umwagiliaji, ambapo imekubaliwa juu ya kupanua muda rizuku ya Misri iliyotolewa na serikali ya misri kwa serikali ya Uganda ili kumaliza tatizo la magugu yanayozunguka Mto nchini uganda na pamoja na kukamilika  kwa mabwawa ya ukuvuna mvua.

Tarehe 12-1-2015 , Waziri wa maji na Umwagiliaji alikwenda Uganda ili kushiriki mikutano ya kamati ya kiufundi na miongozo ya pamoja kwa ajili ya mradi wa ushirikiano wa kifundi pamoja na Wizara ya maji na Mazingira , Wizara ya Kilimo ,Mifugo ,na Uvuvi  ya Uganda.

Waziri wa Fedha wa Uganda na Waziri wa  Mifugo walitembelea  kairo mwezi wa Septemba 2014 kwa ajili ya kuzungumza suala la kuimarisha biashara na Misri.

Ziara ya Waziri wa Umwagiliaji na Rasilimali za maji alitembelea Uganda mwezi wa tatu 2014.

Tarehe 20-10-2013 ,Waziri wa Mambo ya Nje Nabil Fahmy alitembelea Uganda kuongoza ujumbe wa urafiki na ushirikiano wa kimisri ambao ulihusisha maono ya Misri ya baadaye na kipaumbele unaofanya kwa ushirikiano wa  pamoja na nchi za Afrika.

Ujumbe kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Utawala ulitembelea Uganda katika kipindi cha  tarehe 20-27 Mwezi wa sita mwaka 2010.

na katika kipindi cha 24 -31 mwezi wa kwanza mwaka 2010 , Mwenyekiti wa Bunge la watu wa Uganda alitembelea Ofisi ya Mwenyekiti  wa Shirika la Mkutano wa Kiislamu , na kuchukua Uenyekiti kwa Uganda.


  Ziara Za Pamoja

Tarehe 26 hadi 27 Septemba 2018, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji, Dr.Mohamed Abdel-Ati, alitembelea Uganda ili kuhudhuria hitimisho la awamu ya kwanza ya mradi wa kuzuia hatari ya mafuriko katika jimbo la Kasese Magharibi mwa Uganda.


. Mnamo 8/5/2018, Raisi wa Uganda" Yoweri Museveni" alitembelea Misri, na alipokelewa na Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi. Pande hizo mbili zilijadili mahusiano ya nchi mbili na maswala ya kikanda ya maslahi ya pamoja. Nyaraka kadhaa zilisainiwa kati ya Misri na Uganda katika ushirikiano wa nchi mbili katika kilimo, biashara, maeneo yaviwanda,umeme na nishati mbadala.


- Mnamo tarehe 7/5/2018, Waziri wa nchi wa Uganda Veterans Affairs Bright Kanituri Rwamirama Alitembelea Misri, ambapo alipokewa na kiongozi Mkuu Sudki Sobhi, Kamanda Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi na Uzalishaji wa Jeshi. Pande hizo mbili zilijadili maendeleo ya kikanda na kimataifa na matokeo yake kwa usalama na utulivu ndani ya
bara la Afrika. Majadiliano kadhaa yalijadiliwa kulingana na mahusiano ya ushirikiano kati ya vikosi vya silaha za nchi hizo mbili na kufaidika na ujuzi wa kijeshi wa Misri katika kuendeleza masuala mbalimbali na huduma zinazotolewa kwa wanajeshi wa zamani na watetezi wa shughuli za kijeshi.


Mnamo 8/8/2017, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji Dk.Mohamed Abdel Ati Alitembelea Uganda, na hiyo ni katika mfumo wa juhudi zinazotolewa na Misri ili kutekeleza mradi wa kuzuia hatari ya mafuriko katika jimbo la Kasese, Magharibi mwa Uganda, mradi ambao ulifikia gharama za dola milioni 4.5. Dk. Mohamed alipokelewa na Waziri wa Maji na Mazingira Sam Shabtore.Pande hizo mbili zilijadili masuala yanayofanana ya nchi mbili na kikanda. Mnamo tarehe 21/6/2017, Raisi Abdel Fattah Al Sisi alitembelea Uganda ili kushiriki katika Mkutano wa Nchi za Bonde la Mto Nile, alipokewa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni. Pande mbili zilifanya majadiliano muhimu pembezoni mwa kilele cha kwanza cha mkutano wa
nchi za Bonde la Mto Nile. Mazungumzo yalielekezwa katika njia za kuimarisha ushirikiano wa pamoja kati ya nchi mbili katika nyanja zote na kuimarisha ushirikiano kati ya nchi za Bonde la Mto Nile.


Mnamo 2/5/2017, Waziri wa Mambo ya Nje Sameh Shukri Alitembelea Uganda, ambapo Alipokelewa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.Shukri alifikisha ujumbe kutoka kwa Rais" Al-Sisi" ujumbe huu ulijadili mahusiano ya pamoja kati ya nchi hizo mbili na njia za kuimarisha katika nyanja zote. Pande hizo mbili zilijadili maswala kadhaa
ya kikanda, hasa hali ya Somalia na Pembe ya Afrika kwa ujumla. Na ushirikiano wa pamoja katika kupambana na ugaidi. Ziara hiyo ilikuja katika mfumo wa uratibu unaoendelea na mashauriano kati ya nchi hizo mbili na kutafuta masuala ya pendekezo muhimu linalotolewa na Rais wa Uganda la kufanya mkutano wa wakuu wa nchi za Bonde la Mto Nile
mkutano wenye lengo la kuleta maoni ya Misri, Sudan na nchi zote za Bonde la Mto Nile.


. Desemba 2016, Raisi" Abdel Fattah al-Sisi" Alifanya ziara yake ya kwanza rasmi nchini Uganda, akisisitiza mahusiano ya kihistoria ya muda mrefu kati ya nchi hizo mbili, ambazo zilikuwa ni hatua mpya za
kuanzisha mahusiano na umuhimu wa kuanzisha kazi ya kamati ya pamoja. Aidha alisisitiza juu ya utashi wa Misri ili kuharakisha ushauri na uratibu na Uganda juu ya maswala mbalimbali ya kikanda. Rais wa
Uganda pia Alisisitiza juu ya umuhimu wa kuimarisha mazungumzo na ushirikiano kati ya nchi za Bonde la Mto Nile, akiashiria nia yake ya kufikia hili pamoja na juhudi anazozifanya katika kipindi cha wa urais wake kwa pendekezo lake kutokana na nchi za Bonde la Mto Nile. Marais wawil walisisitiza juu ya umuhimu wa kufanya kazi ya kuchukua
hatua muhimu ya utekelezaji wa mradi baada ya utafiti wake.


Mnamo 26/9/2016, Ujumbe kutoka Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Uganda walitembelea Misri, ambapo walijadili hatua za utekelezaji wa miradi ya pamoja ya ushirikiano, ikiwa ni pamoja na ziara ya mjumbe wa kiufundi wa Misri ili kuanzisha kituo cha nishati ya jua nchini Uganda, unaofadhiliwa na Mpango wa Misri wa Maendeleo katika Bonde la Mto
Nile. Pia walijadili njia za kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, hasa kuhusiana na nyanja ya Bunge, kwa sababu ya jukumu la Kamati ya Mambo ya Afrika, ambayo ilianzishwa na Bunge jipya la Misri.

Mnamo tarehe 17/12/2015, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji Dr. Hossam Mughazi Alitembelea Uganda ili kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili ambapo alikutana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Uganda. pande zote mbili walisisitiza juu ya kuimarisha uhusiano wa ushirikiano katika nyanja niyingi za kisiasa na rasimali za maji.

Mnamo 3/8/2015, katika mazingira ya nia ya Misri kuimarisha na kuendeleza mahusiano yake na nchi ndugu ya Uganda katika nyanja zote, na kufikia maoni ya pamoja kuhusiana na suala la maji ya Mto Nile, Msaidizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Uganda James Mugoumi alitembelea Misri, na alipokelewa na Sameh Shoukry Waziri wa mambo ya nje wa misri.


Mnamo 30/7/2015, Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba ya Jamhuri ya Uganda, Kahenda Utavir Alitembelea Misri, ambapo Alikutana na Rais Abdel Fattah Al-Sisi.


Mnamo 15/1/2015, ujumbe kutoka Wizara ya Umwagiliaji iliyoongozwa na Balozi Ahmed Bahaa Eldin, Mwenyekiti wa Kamati ya Uendeshaji ya Ushirikiano wa Kiufundi katika uwanja wa maji na umwagiliaji pamoja na Uganda, Alitembelea Uganda ili kushiriki katika mikutano ya kamati ya kiufundi na uendeshaji wa miradi ya ushirikiano wa kiufundi na
Uganda katika uwanja wa rasilimali za maji na umwagiliaji. Ili Kuidhinisha kuongeza muda wa ruzuku ya Misri kwa serikali ya Uganda ili kukamilisha kusafishwa kwa njia za maji nchini Uganda kutokana na magugu yanayozunguka pamoja na kukamilika kwa mabwawa ya kuvuna mvua.

Mnamo 12/1/2015, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji Hossam Mughazi Alitembelea Uganda ili kushiriki katika mikutano ya kamati ya kiufundi na maelekezo ya mradi wa ushirikiano wa kiufundi na Wizara ya Maji na Mazingira na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Uganda.

Mnamo Septemba 23, 2014, Rais" Abdul Fattah al-Sisi alikutana na Raisi wa Uganda Yoweri Museveni pembezoni mwa Mkutano wa Sitini na tisa ya Umoja wa Mataifa, pande hizo mbili zilijadiliana njia za kukuza ushirikiano na uratibu kati ya nchi mbili katika nyanja mbalimbali. Marais wawili walikubaliana juu ya umuhimu wa kuongeza matumizi ya maji ya Mto Nile na kufikia malengo ya maendeleo kwa faida ya watu wa bara bila ya kuharibu maslahi ya upande wowote.

Mnamo 20/10/2013, Waziri wa Mambo ya Nje Dk. Nabil Fahmy
alitembelea Uganda, ambapo alikutana na Rais wa Uganda Yoweri
Museveni, waziri huyo aliwasilisha ujumbe wa urafiki na ushirikiano wa
Misri ambao ulihusisha maono ya Misri ya baadaye na kipaumbele cha
ushirikiano na nchi za Afrika.
Mnamo Januari 2010, Waziri Mkuu wa Uganda alitembelea Cairo na
akasaini mkataba wa uelewa kati ya nchi hizo mbili, ambapo Misri itatoa
dola milioni 4.5 kwa ajili ya kuanzishwa kwa mabwawa ya maji ya mvua,
mashamba ya samaki na visima vya maji ya chini ya mashariki na

kaskazini mwa Uganda.

Katika kipindi cha 20-27 Juni 2010, ujumbe kutoka Mamlaka ya

Kudhibiti Usimamizi wa Misri ulitembelea Uganda.
.
Katika kipindi cha 24 hadi 31 Januari 2010, Spika wa Bunge wa Misri na
pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Bunge wa Shirika la Mkutano wa
Kiislamu. alitembelea Uganda na akabeba ujumbe kutoka Misri kwenda
Uganda.

Desemba 2009 Spika wa Bunge wa Uganda aliitembelea Misri mara
mbili.


Kuanzia 8 hadi 9 Novemba 2009, Rais wa Uganda alihudhuria
Kongamano la China na Afrika huko Sharm El Sheikh.
Katika kipindi cha 30 Juni hadi 1 Julai 2008, Rais wa Uganda
Alimtembelea Misri ili kuhudhuria mkutano wa kilele wa Afrika
uliofanyika Sharm el Sheikh.


Wakati wa 23-24 Juni 2008, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa na
Waziri wa Kilimo na Kurejesha Ardhi wa Misri, walitembelea
Uganda,kutokana na mwaliko wa Rais Museveni , pembezoni mwa
Mkutano wa India na Afrika, ambapo walikutana na Rais wa Uganda.
Katika kipindi cha 3 hadi 10 Desemba 2005, ujumbe wa ukaguzi wa
nchi ya Uganda wametembelea Misri, ambapo mkataba wa uelewa
ulisainiwa kwa ushirikiano kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Misri na

Uhakiki wa Serikali ya Uganda, mkataba huo uliosainiwa kati ya
Mamlaka mbili mwaka 1999.


            Mahusiano ya kiuchumi

Tarehe 27/9/2018, kamati za Teknolojia na udhibiti wa miradi ya
ushirikiano wa kiufundi kati ya Misri na Uganda yalimaliza shughuli zao
Mkutano ulifikia malengo yake kwa kufuata maendeleo ya kazi na
ukubwa wa mafanikio katika miradi yote na kuchunguza njia za kushinda
vikwazo vyovyote ili kuhakikisha kuendelea kwa miradi hii. Mikutano ya
pamoja ya kamati ya kiufundi imekubaliana kuanzisha mabwawa matano
kwa ajili ya kuvuna maji ya mvua katika maeneo mbalimbali ya
Uganda.Hatua ya pili ya mradi wa kuzuia hatari ya mafuriko katika Jimbo
la Kasese ilikubaliwa, kama uwekezaji katika awamu ya kwanza

Katika 2018/08/04, Dr. Mohamed Abdel-Ati, Waziri wa Rasilimali za
Maji na Umwagiliaji Amesema kwamba awamu ya kwanza
imemalizika kutokana na mradi wa kuepuka mbali hatari ya mafuriko
Mkoani "Ksysa" magharibi mwa Uganda, ikiwa ni pamoja na utekelezaji
shughuli za usafishaji juu ya Mto "Nyamwamba "Kasese" na
utekelezaji wa ulinzi kwa kutumia kuta" Jabionah" katika maeneo
manne muhimu kwa ajili ya kuyalinda kutokana na na mafuriko
makubwa, utekelezaji wa mkataba wa makubaliano na saini kati ya
wizara hiyo na Wizara ya maji na mazingira ya Uganda, mradi
umegharamika ya $ milioni 2.7 ruzuku kwa Misri, aidha kukamilisha
Marina ya Mto juu ya Ziwa "Kyoga" katika Mkoa wa" Calero" na kazi
ya Marina la mto la pili katika Mkoa "Amu Tar ", pamoja na kukamilika
kwa utekelezaji wa mabwawa matatu ili kuvuna maji ya mvua na
kuondolewa majani au magugu katika uingia na kutoka, katika Ziwa"
Kyoga ", pia kukamilika utekelezaji wa mashamba matatu ya samaki
katika maeneo kadhaa.

. Mnamo 8/5/2018, Rais Abdul Fattah al-Sisi na mwenzake wa Uganda,
Yoweri Museveni, walishuhudia sherehe ya kusainiwa nyaraka tano ili
kuimarisha ushirikiano wa nchi mbili katika Nyanja nyingi.

. Hati ya kwanza ilihusika na taarifa ya mwisho katika ziara ya urais na
karatasi ya Kamati ya Pamoja ya Misri na Uganda, iliyosainiwa na pande
zote mbili, Waziri wa Mambo ya Nje Sameh Shukri na mwenzake wa
Uganda.


Hati ya pili imeshughulika na makubaliano ya ushirikiano kati ya Wizara
ya Umeme na Nishati mbadala ya Misri na Wizara ya Umeme na
Maendeleo ya Madini ya Uganda kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha
umeme kwa kutumia" voltage " nchini Uganda, iliyosainiwa na Waziri
wa Misri wa Umeme na Nishati Mbadala Mohammad Shaker na kwa
upande wa Uganda" Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini.


Hati ya tatu imefanya mkataba wa mtendaji kati ya Wizara ya Umeme
na Nishati ya Misri na Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini ya
Uganda kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha umeme nchini Uganda,
iliyosainiwa na upande wa Misri, Waziri wa Umeme na Nishati Yenye
Mbadala " Mohammed Shaker", na kwa upande wa Uganda, Waziri wa
Nishati na Maendeleo.


Hati ya nne ya kushughulikiwa na Mkataba wa Uelewa juu ya
uanzishwaji na usimamizi wa maeneo ya viwanda kati ya Mamlaka ya
Maendeleo ya Viwanda ya Misri na Mamlaka ya Uwekezaji ya
Uganda, iliyosainiwa kwa upande wa Misri, Waziri wa Biashara na
Viwanda Tariq Qabeel, na kwa upande wa Uganda, Waziri wa Mambo
ya Nje.


Hati ya tano ilishughulikia mkataba wa ufahamu kwa ushirikiano kati ya
nchi hizo mbili katika mashamba mbalimbali ya kilimo, iliyosainiwa na
Waziri wa Misri ya Kilimo na Kuahirisha ardhi, Abdel Moneim El
Banna, na Waziri wa Kilimo na Uvuvi wa Uganda.


Mnamo 8/8/2017, Waziri wa Rasilimali za Maji na Umwagiliaji Dr.
Mohamed Abdel At i amesema kuwa Misri iko tayari ili kutoa mahitaji
na msaada wa kiufundi ili kuzuia mafuriko makubwa katika eneo la "K
Kassese" katika jimbo la "Rwenzori" Magharibi mwa Uganda, na
Wizara ya Misri ya Maji na Umwagiliaji imepeleka ujumbe wa
kiufundi ili kuandaa kutekeleza mradi wa dharura wa kuzuia Hatari ya
mafuriko .

Mnamo Juni 15, 2016, Waziri wa Biashara na Viwanda Tariq Qabeel alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda, Oryem Henry Okelo ambapo mkutano huo ulihusika na kuimarisha mahusiano ya biashara na uwekezaji kati ya pande hizo mbili.Qabeel ameashiria kuwa hivi karibuni tumeshaanzisha ofisi ya biashara ya Misri nchini Uganda katika kiwango cha kibiashara na uwekezaji wa pamoja.


- Mnamo tarehe 17/12/2015, Misri ilitangaza kuwa misaada yote iliyotolewa na Misri kwa miaka 16 kwa Uganda kwa ajili ya maendeleo ya miradi ya maji ilikuwa ya dola milioni 22.4, ambayo ilitolewa kama ni ruzuku ya Misri.Hizi ni pamoja na miradi ya ushirikiano wa kiufundi kati ya Wizara ya Misri ya Rasilimali za Maji na Umwagiliaji na wizara wa
Kilimo Mifugo na uvuvi wa Uganda kama ni mradi wa Misri na wa Uganda ili kuzuia magugu katika Maziwa Makuu ya Uganda.


. Mnamo Januari 15, 2015, uliongezwa muda wa misaada ya Misri kwa serikali ya Uganda ili kukamilisha usafi wa maji katika Uganda kutokana na magugu yaliyotandaa na pia kukamilika kwa mabwawa ya kuvuna mvua. Ruzuku ya Misri inajumuisha ujenzi wa mabwawa 12 na kujenga vizuizi vya kuhifadhi ardhi, na baadhi ya fukwe za vijiji kwenye mabonde ya Maziwa Mkubwa na mabonde kadhaa ya Mto, mashamba ya samaki yatakayo anzishwa, na hiyo ni kwa ajili ya kutekeleza utashi wa pande ya Uganda na vipaumbele vya mahitaji yake


. Mazoezi ya mafunzo yalifanyika katika sekta ya mafunzo ya Wizara ya Umwagiliaji kwa viongozi 10 wa kitaaluma kutoka nchi ya Uganda katika kubuni, ujenzi na matengenezo ya mabwawa ya kuvuna maji ya mvua, ambayo itaendeshwa hadi Mei 22, kuanzia 11/5/2014 hadi 22/5/2014. Na lengo kuu kutokana na zoezi hili ni kuongeza uwezo wa
kiufundi wa viongozi wa Uganda katika kubuni, ujenzi na matengenezo ya mabwawa ya kuvuna mvua na kusisitiza nia ya Misri katika kutekeleza pendekezo la Maendeleo ya nchi za Bonde la Mto Nile.