Habari

Taifa Stars yaelekea uwanjani tayari kuivaa Burundi

Msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' unaondoka hotelini mchana huu kuelekea kwenye Uwanja wa Prince Louis Rwagasore jijini Bujumbura

zaidi

Burundi kuchagua Rais Mei 20 mwakani

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (CENI), imetangaza rasmi siku ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kuwa ni Mei 20, mwaka kesho.

zaidi

Bandari ya Kabwe kufungua milango ya kiuchumi

Wakazi wa Mkoa wa Rukwa, watafaidika kibiashara na usafiri wa maji kutokana Bandari mpya ya Kabwe, iliyopo mkoani hapa inayotarajia kukamilika Aprili mwakani.

zaidi

Tanzania yaimarisha mipaka

MIPAKA ya Tanzania na nchi za Kenya, Uganda na Burundi imeanza kuimarishwa katika hatua mbalimbali

zaidi

ARUSHA MWENYEJI MASHINDANO YA FEASSSA

MASHINDANO ya vyama vya michezo kwa shule za msingi na sekondari katika nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) yanatarajiwa kufanyika jijini hapa kuanzia Agosti 15 hadi 25.

zaidi