Habari

U17 Tanzania Bara yaiadhibu Kenya

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 imeifunga Kenya kwa mabao 3-1 kwenye michuano ya Kombe la Chalenji

zaidi

Tanzania, Kenya zaahidi kuendeleza na kukuza maendeleo

TANZANIA na Kenya zimeahidi kuendeleza na kushirikiana katika kuhakikisha kuwa maendeleo baina ya nchi hizo yanakuwa kila wakati.

zaidi

Kenya, Somalia kurejesha uhusiano

KENYA  na Somalia, zimekubaliana kurejesha ushirikiano wa awali wa kidiplomasia na kuruhusu raia wa nchi hizo jirani kuvuka mpaka bila vikwazo.

zaidi

Ligi Kuu Kenya sasa ni moto

LIGI Kuu ya Kenya (KPL) ya Kenya iliendelea mwishoni mwa wiki hii ambapo michezo kadhaa ilichezwa.

zaidi

Kenya kuandaa warsha ya kwanza ya ukufunzi barani Afrika

KENYA itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuandaa warsha ya kwanza kuhusu mafunzo ya wafanyakazi katika sekta mbalimbali wiki ijayo.

zaidi

KDF kuendelea kulinda amani duniani

RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya ameahidi kuimarisha operesheni za kulinda amani kote duniani na jeshi la ulinzi la Kenya (KDF)

zaidi

Ukumbusho wa umma wa kifo cha Mzee Kenyatta wafikia kikomo

RAIS Uhuru Kenyatta ametangaza kufutiliwa mbali kwa ukumbusho wa umma wa kifo cha Hayati Mzee Jomo Kenyatta baada ya miaka 41.

zaidi

Mradi wa bwawa Kariminu wang’oa nanga

MRADI mkubwa wa maji wa Kariminu II Dam wa kiasi cha Sh24 bilioni katika maeneo ya Buchana, Kiriko, Gathanji na Kanyoni tayari umeanza kuchimbwa.

zaidi

Uhuru amweka Ruto kiporo urais 2022

SIASA za kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2022 zinazidi kumchefua Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ambaye amekuwa akisisitiza wanasiasa kuwatumikia wananchi

zaidi

Uganda Airlines kupasua anga Tanzania, Kenya

NDEGE za Shirika la Ndege la Uganda (Uganda Airlines), zinatarajiwa kuanza kupasua anga la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuanzia Agosti 28 mwaka huu.

zaidi

Tanzania yaing'oa Kenya Chan

TIMU ya soka ya Taifa, Taifa Stars imesonga mbele kwenye michuano ya kuwania kufuzu fainali za kombe la mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani,

zaidi

Magufuli awapa mbinu za biashara Tanzania, Kenya

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania likiwemo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kufanya biashara na Wakenya kwa kuwauzia unga wa mahindi.

zaidi