Mauritania
Mauritania

Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi kuna pwani ya bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko.

Wilaya za Mauritania

Mauritania ina Wilaya 15, kuna 3 mjini mkuu
1. Adrar 

2. Assaba 

3. Brakna 

4. Dakhlet Nouâdhibou 

5. Gorgol 

6. Guidimaka 

7. Hodh ech Chargui 

8. Hodh el Gharbi 

9. Inchiri 

10. Nouakchott (mji mkuu)

11. Tagant 

12. Tiris Zemmour 

13. Trarza 

Mji mkuu: Nouakchott.
Lugha rasmi: Kiarabu.