Habari

Kagere waifuata Stars kufuzu 2022

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Simba, Meddie Kagere, ameiongoza timu yake ya Taifa ya Rwanda kuungana na Taifa Stars

zaidi

Mkutano Madola Rwanda fursa EAC

RWANDA, mwenyeji wa kihistoria wa mkutano ujao wa marais na wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM),

zaidi

KMC na matumaini Kombe la Kagame

TIMU ya KMC FC, leo alfajiri imesafiri kuelekea nchini Kigali Rwanda kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya Kombe la Kagame yaliyoandaliwa na

zaidi

Chupa za plastiki za maji, soda kuzuiwa

WAKATI Tanzania ikichukua hatua dhidi ya matumizi ya mifuko ya plastiki, Kenya na Rwanda zimeingia katika hatua nyingine

zaidi

MAJALIWA AKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA RWANDA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Rwanda waje wawekeze katika sekta mbali mbali na kwamba serikali itawapa ushirikiano wa kutosha. Aliyasema hayo jana alipokutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Rwanda, Donatille Mukabalisa, osini kwake bungeni jijini Dodoma.

zaidi

Sh milioni 930 kuboresha miundombinu Bandari ya Kagunga

JUMLA ya Sh milioni zimetengwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kwa ujenzi wa barabara na kulipa fidia wakazi katika Bandari ya Kagunga mkoani hapa, inayounganisha mpaka wa Burundi na Tanzania.

zaidi

Rwanda ya 1 EAC kuzalisha simu za kisasa

SIMU za mkononi zinazozalishwa nchini hapa na kiwanda cha Mara Corporation zitaanza kuuzwa katika masoko ya kitaifa na kimataifa ndani ya miezi miwili kuanzia sasa.

zaidi

ARUSHA MWENYEJI MASHINDANO YA FEASSSA

MASHINDANO ya vyama vya michezo kwa shule za msingi na sekondari katika nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) yanatarajiwa kufanyika jijini hapa kuanzia Agosti 15 hadi 25.

zaidi

RWANDA KUWEKEZA ZAIDI MPAKANI MWA TANZANIA.

RWANDA inatarajiwa kupanua utoaji huduma katika mpaka unaoitenganisha na Tanzania ili kuongeza uwezo wa kuhudumia idadi kubwa ya mizigo inayopita katika mpaka huo uliopo mkoani Kagera kwa upande wa Ta

zaidi

Majaliwa ataka mshikamano EAC

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amezitaka nchi za Afrika Mashariki kudumisha amani, umoja na mshikamano ili kuepuka vita visivyokuwa vya lazima.

zaidi