Habari

IMF yaikubali Tanzania inavyotakata kiuchumi

WATAALAMU kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF), wameitabiria Tanzania kuwa uchumi wake utaendelea kukua katika kipindi kifupi kijacho. Wamesema uwekezaji mkubwa, unaofanywa na serikali ni miongoni mwa mambo yanayochangia mafanikio hayo.

zaidi

Wawekezaji wa Nigeria waitwa fursa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka Nigeria kuwekeza katika sekta yoyote wanayoitaka visiwani humo.

zaidi

Mashirika UN yaridhishwa huduma za afya

MASHIRIKA ya Umoja wa Mataifa yanayohusika na sekta ya afya yameelezea kuridhishwa na juhudi zinazochukuliwa na Serikali ya Zanzibar katika kutoa huduma za afya kwa jamii na kupambana na maradhi

zaidi

IMF, Serikali kujadili sera za kiuchumi

SERIKALI inatarijia kukutana na timu ya wataalamu wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) kujadili programu mpya ya ushauri wa kisera (PSI)

zaidi

Askofu: Utalii wa asili chachu ya maendeleo Upareni

Utalii wa asili umekuwa chachu ya kufungua maeneo mengi yaliyokuwa hayajulikani kabisa kama vivutio vya utalii, Upareni, na kwingineko.

zaidi

Wadau mafunzo utalii watakiwa kuunganisha nguvu kuinua tija

SERIKALI imezitaka taasisi za mafunzo na wadau wa sekta ya utalii kuunganisha nguvu ili kutatua changamoto zilizopo, ikiwemo nguvu kazi yenye weledi katika tasnia hiyo.

zaidi

Majaliwa azindua Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kumi wakati akizindua Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma, ambao utekelezaji wake katika miradi iliyopo na ijayo, utagharimu takribani Sh trilioni 4.1.

zaidi

Trilioni 1.4/- kukabili Ukimwi, malaria, TB

SERIKALI ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi

zaidi

Magufuli ateua wenyeviti bodi Airtel, IRDP, Chuo Kikuu Mandela

RAIS Dk John Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti watatu wa bodi za taasisi mbili za Serikali na moja ya ubia wa serikali na sekta binafsi.

zaidi

STAMICO kuanzisha mradi wa kusafisha dhahabu Mwanza

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) lipo katika hatua za awali za uanzishwaji wa Mradi wa Kusafisha Dhahabu (Gold Refinery) na tayari kampuni ya ubia ijulikanayo kama Mwanza Precious Metals Refinery

zaidi

Samatta apongezwa kila kona

SERIKALI imempongeza na wadau mbalimbali wa soka wamempongeza mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta baada ya kusaini mkataba wa miaka minne na nusu kuichezea klabu ya Aston Villa

zaidi

JPM- Tumejipanga Uchaguzi Mkuu uwe huru

RAIS Dk John Magufuli amesema serikali imejipanga mwaka huu, kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba wa Rais, wabunge na madiwani unakuwa huru na wa amani na kuahidi kualika nchi za nje kuja nchini,

zaidi