Tunisia
Jumapili, 30 Desemba 2018
Tunisia

Wimbo wa Taifa ni :  " Humata l-hima"
Lugha rasmi  :            " Kiarabu"

Mji mkuu  :                 " Tunis"
Mfumo wa Utawala :    " Jamhuri"
Rais :                          " Beji Caid Essebsi"
Waziri Mkuu :               " Habib Essid"
Eneo:                          " km² 163.610
Wakazi:                       " 10,982,754 (Julai 2014"
Wakazi kwa km²:          " 63"
Tarehe ya uhuru  :        " 20 Machi 1956 (kutoka Ufaransa"
Fedha :                            " Dinari ya Tunisia"
Wakati :                           " UTC +1"
Sikukuu ya Taifa :             " 7 Novemba"
 Lugha ya elimu ni :         " Kifaransa"
Mahali:                         "Tunisia ipo kaskazini mwa Afrika"

 
Tunisia ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.

Mji mkuu ni Tunis amabo mahali pa Karthago ya kale. .Idadi ya wakazi  wake 728 453 

 Historia ya Tunisia 

Tunisia iliwahi kutawaliwa na Wafinikia walioanzisha huko mji wa Karthago.Baada ya hao kushindwa na Roma ya Kale, ilikuwa jimbo katika Dola laRoma.Kisha eneo lake likatawaliwa na Wavandali, Waarabu, Wahispania, Waturuki na
Wafaransa.Tunisia Ipata uhuru tarehe ya 20 Machi 1956. 

Watu
Wakazik wake kwa asilimia 98% wanajiita Waarabu na hutumia lugha ya Kiarabu ambacho ndicho lugha rasmi. Hata hivyo damu yao ni mchanganyiko hasa wa ile ya Waberber,Waarabu na Waturuki.
Takriban watu 200,000, hasa wale wa kusini, wanaendelea kuzungumza Kiberber ambacho nilugha asili ya wenyeji lakini Waberber wengi wamezoea kutumia Kiarabu.
Katika elimu na biashara lugha ya Kifaransa inatumika sana pia .
kwa upande wa dini, Uislamu unafuatwa na asilimia 98 za wakazi, nao ndio dini rasmi.
Tunisia ni nchi ya Afrika ya Kaskazini inayopakana na Bahari ya Mediteranea, Libya na Algeria.
Mji mkuu ni Tunis yenye wakazi 728 453, ulioko mahali pa Karthago ya kale.