Habari

Museveni ataka kodi zikusanywe kidijitali

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amezitaka taasisi nchini humo kuhakikisha zinatumia mfumo wa kisasa wa kidijitali katika utoaji wa risiti baada ya mauzo.

zaidi

Lugha ya Kiswahili kuidhinishwa Uganda

SERIKALI  ya Uganda imeidhinisha kuundwa kwa baraza la kitaifa la Kiswahili litakaloongoza kuidhinishwa  Kiswahili kuwa lugha rasmi ya pili nchini humo.

zaidi

JPM, Museveni wataka biashara kuimarishwa

RAIS John Magufuli amesema biashara kati ya Tanzania na Uganda, bado haijafanya vizuri

zaidi

.... Wazindua Jengo la Baba wa Taifa

Rais John Magufuli na mgeni wake, Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamezindua jengo la Baba wa Taifa,

zaidi

Cecafa U-20 kupigwa Uganda

BARAZA la Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema kuwa mashindano ya vijana ya umri chini ya miaka 20 (U- 20)

zaidi

Uganda Airlines kupasua anga Tanzania, Kenya

NDEGE za Shirika la Ndege la Uganda (Uganda Airlines), zinatarajiwa kuanza kupasua anga la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuanzia Agosti 28 mwaka huu.

zaidi

Vyuo vikuu EAC vyang'ara taaluma Afrika

VYUO vikuu vya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), vimefanya vizuri katika masuala mbalimbali ikiwemo taaluma, ikilinganishwa na vyuo vikuu vingine katika Bara la Afrika.

zaidi

Usafirishaji mizigo kwa Bandari Mwanza-Port Bell kurahisishwa

SERIKALI kupitia Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania (MSCL) kwa kushirikiana na Shirika la Reli Uganda wameweka utaratibu

zaidi

Tanzania yaimarisha mipaka

MIPAKA ya Tanzania na nchi za Kenya, Uganda na Burundi imeanza kuimarishwa katika hatua mbalimbali

zaidi

ARUSHA MWENYEJI MASHINDANO YA FEASSSA

MASHINDANO ya vyama vya michezo kwa shule za msingi na sekondari katika nchi za Afrika Mashariki (FEASSSA) yanatarajiwa kufanyika jijini hapa kuanzia Agosti 15 hadi 25.

zaidi

MRADI BOMBA LA MAFUTA KUTEKELEZWA SEPTEMBA

MRADI wa Bomba la Mafuta linalotokea nchini Uganda kupitia Kagera hadi Tanga utaanza kutekelezwa Septemba mwaka huu baada ya majadiliano kufi kia asilimia 80 kati ya serikali ya Tanzania na Uganda.

zaidi

Okwi, Juuko wang’aa kikosi cha Uganda Afcon

KAMPALA, UGANDA. Nyota wa Simba, Emmanuel Okwi na beki Juuko Murushid pamoja na beki wa Azam FC

zaidi