Jumamosi, Julai 20, 2019
Jumamosi, Julai 20, 2019
Jumamosi, Julai 20, 2019

Habari Leo :

  • SADC kumuenzi Mandela kwa kuimarisha amani.
  • Teknolojia ya umwagiliaji mashamba kuwafikia wakulima.
  • Xinhua, TSN wakubaliana kudumisha ushirikiano.

Mtanzania:

  • Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini kikaangoni.

IPP Media :

  • Waziri awaita Takukuru hofu ulaji mradi wa maji.

Mwananchi :

  • Uzinduzi safari ya treni Tanga-Kilimanjaro watajwa kuleta neema.