JUMAMOSI ,SEPTEMBA 14,2019
Jumamosi, Septemba 14, 2019
JUMAMOSI ,SEPTEMBA 14,2019

 

Habari Leo :

  • FAMILIA SASA YAKUBALI MUGABE AZIKWE KWA MASHUJAA.
  • TUKO TAYARI KWA MAPAMBANO - YANGA.

 

Mtanzania :

  • HATOKI MTU.
  •  Simba inawachapa.

 

IPPMedia :

  • Mashine ya kisasa saratani ya titi yazinduliwa.
  • Serikali kupambana wanyama hatari.

 

Mwananchi :

  • Tanzania, Kenya kuanzisha mfuko kulinda bonde la mto Mara.
  • Serikali ya Tanzania kutumia bidhaa ya Kiswahili kufikia uchumi wa viwanda.

 

Taifa Leo :

  • Kenya kuandaa warsha ya kwanza ya ukufunzi barani Afrika.