Jumanne, Januari 28, 2020
Jumanne, Januari 28, 2020
Jumanne, Januari 28, 2020

Habari Leo :

  • Rais Magufuli apokea hati za utambulisho mabalozi tisa.
  • EAC yajipanga virusi vya corona.

 

Mtanzania :

  • Profesa Kabudi: Hakuna Mtanzania aliyepata virusi vya corona China.
  • ACT Wazalendo yatangaza uchaguzi wa viongozi.

 

IPPMedia :

  • Tanzania yapewa 5 uzalishaji mchele.
  •  Mil. 190/- kwa mikopo vikundi 36.