Jumanne, Januari 7, 2020
Jumanne, Januari 07, 2020
Jumanne, Januari 7, 2020

Habari Leo :

  • Mauzo ya bidhaa nje ya nchi yapaa.
  • Serikali yasisitiza kushirikiana na wawekezaji.
  • Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi Daraja Kigongo-Busisi.

 

Mtanzania :

  • ATCL yaongeza ndege ruti ya Bukoba.
  • Muungano huu wa makapuni utasukuma uchumi.

 

Zanzibar Leo :

  • Kiwanda cha mafuta ya mimea Wawi chapata mitambo mipya.

 

Taifa Leo :

  • Kenya nambari tatu ulimwenguni nchi zenye idadi kubwa ya vifaru.

 

Zanzibar 24 :

  •  Uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la makaazi ya wazee Sebleni.