Jumatano, Julai 3, 2019
Jumatano, Julai 03, 2019
Jumatano, Julai 3, 2019

Mtanzania : 

  • Miradi ya kuleta neema ya maji yasainiwa.
  • Ummy asema idadi ya watoto wanaozaliwa nchini inapungu.
  • Mkutano nchi za SADC utakuwa chachu ya uwekezaji.

IPP Media :

  • Miradi ya bil. 114/- kuongeza maji Dar, Pwani.
  • Kenyatta amweleza JPM kukerwa kauli ya Jaguar.
  • Kutua ndege ya KLM Boeing 787-10 KIA, heshima kwa Tanzania.

Habari Leo :

  • UDSM yabuni mashine ya kukaushia dagaa.
  • Stars yarudi kujipanga upya.