Covid -19

Rwanda yasajili kesi 22, na kufikia  jumla ya maambukizi 176

Wizara ya Afya ya Rwanda ilitangaza Jumamosi jioni, Aprili,25 kwamba kesi mpya 22 za Covid -19 zimesajiliwa , nayo ni  ongezeko kubwa la kila siku tangu nchi isajili  kesi yake ya kwanza Machi 14, na

zaidi

Rwanda inarekodi maambukizi 5 mapya ya virusi vya corona

Wizara ya Afya ya Rwanda imetangaza usajili wa maambukizi mapya matano na virusi vipya vya Corona nchini, na kuongezeka idadi ya kesi za maambukizi hadi kesi 118.

zaidi

Serikari ya Rwanda inaamua kutoa chakula cha bure na umeme hadi mwisho wa Virusi vya Corona

Serikari ya Rwanda ilianza usambazaji wa bure kwa chakula kwa raia wake na ilitangaza kutoa huduma ya umeme wa bure hadi mwisho wa janga la Virusi vipya vya Corona.

zaidi

Rwanda: kufungwa nchini kikamilifu kwaongezwa hadi Aprili 19

Serikali ya Rwanda imeamua kuongeza hatua zilizowekwa tangu mwezi uliopita kuhusu kufungwa kamili hadi Aprili 19, 2020.

zaidi

Rwanda: kipindi cha msamaha kimetolewa kwa wateja wa Benki ya Rwanda walioathiriwa na virusi vya corona

Benki ya Rwanda ya BPR ilisema kwamba itawapa wateja wake kipindi cha msamaha kinachofikia hadi miezi mitatu ili kupata malipo ya mtaji au riba ili kuwawezesha wale wanaosumbuliwa na athari ya Covid-1

zaidi

Rais wa Rwanda aamuru ugawaji wa chakula na umeme bure kwa watu, kwa sababu ya Corona

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameamuru ugawaji wa chakula kwa raia wa nchi yake na kwa wageni wakati wa kipindi cha karantini

zaidi