Wahusika

Siti binti Saad

Siti binti Saad alizaliwa katika mwaka wa 1880, kijijini cha Fumba, kisiwa cha Unguja ambacho sasa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. katika mwaka wa 1911 alihamia Zanzibar mjini.

zaidi

Misrit Defar

Misrit Defar alizaliwa Novemba 19, 1989 katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.

zaidi

Salif Keita

"Salif Keita" Mmali aliyeandika jina lake kwa herufi za dhahabu katika historia ya soka ya Afrika,

zaidi

Sherif Solaiman

Mmoja wa nyota za timu ya Guinea, alizaliwa Oktoba 20, 1944.

zaidi

Thomas N'Kono (kameroon)

Nguli wa magolikipa.. Jina aliloitwa mchezaji wa kameroon  "Thomas N`kono",

zaidi

GWIJI WA WIKI: Winnie Anne Otieno

SUBIRA ni miongoni mwa siri kubwa za kufanikiwa kwa mtu maishani na kitaaluma. Haiwezekani kabisa kwa mambo yote kuja kwa wakati mmoja.

zaidi

Tirunesh Dibaba

Tirunesh Dibaba alizaliwa tarehe 1 Juni,1985 katika Ersa, Jimbo la Uromia ametoka katika familia yenye watoto 6.

zaidi

Josina Machel

Josina Machel ni mwanamke aliethubutu kuinua silaha dhidi ya utawala wa kikoloni wa Kireno. Aliwahamasisha wanawake wengine pamoja na wanaume kuingia vitani kudai uhuru katika eneo lijulikanalo sasa

zaidi

Nelson Mandela

Nelson Mandela, baba wa demokrasia Afrika Nelson Mandela ni moja kati ya wapigania uhuru nguli wanaopendwa Afrika. Alitumikia kifungo cha miaka 27 jela, lakini baadae alikuwa ni alama ya mapambano ya

zaidi

Mohamed Salah

Mo. Salah amezaliwa tarehe 15 Juni, Mwaka 1992, Katika Kijiji cha Nigreek Mji wa Basion katika Mkoa wa Al-Gharbiya.

zaidi

Kwame Nkrumah.

Kwame Nkrumah (21 Septemba 1909 - 27 Aprili 1972) alikuwa Rais wa kwanza wa Ghana na mmoja wa viongozi wenye nia ya kujenga Muungano wa Afrika.

zaidi

Gamal Abdel Nasser

JINA LISILOSAHAULIKA KATIKA AFRIKA Haikuwa ni jambo la mshangao picha yake kuwepo katika uwanja wa Tahriri na viwanja vyote vilivyoshiriki katika mapinduzi ya Januari, mwaka 2011.

zaidi