Misrit Defar
Alhamisi, Septemba 05, 2019
Misrit Defar

Misrit Defar alizaliwa Novemba 19, 1989 katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.  Katika mwaka wa  2008,  alishinda mashindano ya mbio za mita 5,000  Mjini New York  na  kuweka rekodi iliyofikia dakika 53:24:14, lakini katika mwaka wa 2007 alivunja rekodi hiyo huko Oslo, Norway, kwa kuweka rekodi ya dakika 63:16:14.

Mesrit Defar alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya mbio za mita 5000 katika michezo ya Olimpiki ya Athene mwaka wa  2004, Olimpiki ya London 2012, na alishinda Mashindano ya Dunia huko Osaka, Japan katika mwaka wa 2007 na Doha katika mwaka wa 2010, na Budapest, Moscow na Valencia katika miaka ya 2004, 2006 na 2008.